Ilikuwa Juzi wakati msanii nguli wa Bongo Fleva Joseph Haule
(Prof Jay) wakati akifungua matawi mapya na kuhamasisha wananchi
wakijiandikisha
kwenye daftari la makazi na kisha kuitumia vema HAKI yao ya
kupiga KURA na kuwachagua viongozi wao kwa maendeleo yao!
!! Hamasisha na watu wako ili wajitambue na kujiandikisha!
!!chanzo Dj Choka
No comments:
Post a Comment