Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, September 26, 2014

UKAWA YAITAKA POLISI KUZUIA MIKUTANO YA KINANA NCHINI

 Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu,  akizungumza jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani).
UMOJA wa Katiba ya Wananchi “Ukawa” wamemtaka Mkuu wa Jeshi la  Polisi nchini,  kuzuia mikutano ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinana,  kama alivyozuia mikutano na maandamano ya vyama vya siasa  vinavyoundwa  na Ukawa.

PICHA::MATUKIO TOKA BUNGE LA KATIBA LEO

PIX_2.[2]Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo leo 26 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
PIX_3.[2]
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Jaji Stephen Werema akisoma taarifa ya Mahakama Kuu ndani ya Bunge Maalum la Katiba leo 26 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

NEW HIT VIDEO::PACHA WANGU BY RICH MAVOKO ITAZAME HAPA

RASIMU YA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA NA BUNGE MAALUM 2014,HII HAPA UNAWEZA UKAIPAKUA(DOWNLOAD) NA KUISOMA



Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta

Mambo yameiva, na hii hapa ndiyo Rasimu ya Tatu ya Katiba, ambayo inapendekezwa na Bunge Maalum. 

Vipengele vingi vimebadilishwa. Haya hapa ni mambo ya Muungano:

Mambo ya Muungano

1. Katiba na Mamlaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
2. Ulinzi na usalama wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
3. Usalama na usafiri wa anga.
4. Uraia na uhamiaji.
5. Jeshi la Polisi.
6. Sarafu na Benki Kuu.
7. Kodi ya Mapato inayolipwa na watu binafsi na Mashirika, ushuru wa forodha na ushuru wa bidhaa zinazotengenezwa nchini Tanzania na zinazosimamiwa na Idara ya Forodha.
8. Mambo ya nje.
9. Usajili wa vyama vya siasa.
10. Mahakama ya Juu na Mahakama ya Rufani.
11. Elimu ya Juu.
12. Baraza la Taifa la Mitihani na mambo yote yanayohusika na kazi za Baraza hilo.
13. Utabiri wa hali ya hewa.

14. Utumishi katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano. 

DOWNLOAD/IPAKUE MWENYEWE HAPA: RASIMU YA TATU

EVELYN BAASA NDIYE REDD'S MISS TANZANIA PHOTOGENIC 2014‏

 
Miss Tanzania Photogenic 2014, Evelyn Baasa.

 Warembo waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora ya Redd’s Miss Tanzania Photogenic 2014, wakiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa taji hilo, Evelyn Baasa (katiakti) jana. Wengine kutoka kushoto ni Nicole Sarakikya, Lilian Kamazima, Lilian Timothy na Dorice Mollel.\

SHUHUDA ALBINO ATAKA WAUAJI WANYONGWE HADHARANI‏

DSC_0519
Shuhuda aliyenusurika kwenye mauaji ya Albino ambaye amekatwa mikono yote miwili, Mariam Stanford akitoa ushuhuda wake na killio chake mbele ya meza na wageni waalikwa waliohudhuria sherehe za maadhimisho ya siku ya kimataifa ya amani iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam kwenye viwanja vya Mnazi mmoja.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).

VIDEO: PASTOR ALIYEWALISHA MAJANI WAUMINI WAKE, SASA AWANYWESHA PETROLI



Mchungaji wa Afrika Kusini aliyewahi kuwalisha waumini wake majani, sasa anawanywesha petrol. Pastor Lesego Daniel wa Rabboni Centre Ministries aliwahi kuandikwa sana na vyombo vya habari duniani kwa kuwaagiza wafuasi wake kula majani kama wanyama kwa madai kuwa binadamu wanaweza kula chochote kilichotoka kwa Mungu.
Kitendo hicho kiliwaacha waumini wengi wakitapika na kuharisha. Na sasa anawataka waumini wake kunywa petroli kwa madai kuwa itageuka kuwa juice ya nanasi. Tazama hii video hapa chini

ZIARA YA KINANA TANGA


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kulima shamba la mpunga kwenye mradi wa kilimo kwanza wa Skimu ya Mahenge.
 Mifereji ya maji kwenye shamba la skimu ya Mahenge.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kufyeka majani kwenye eneo la soko la sabasaba mjini Korogwe.

TAZAMA HIZI PICHA 20 ZA HUYU MTOTO NA BABA YAKE WANAVYOCHEZA NA MAMBA,NI HATARIIII.....


SKYLIGHT BAND WAZIDI KUTIKISA JIJI LA DAR KWA BURUDANI NZITO

Skylight Band Divas Mary Lukos(Wa kwanza Kushoto) Aneth Kushaba(katikati) Na Digna Mpera (Wa kwanza Kulia) wakitoa burudani ya nguvu Kwa Mashabiki Wao Ndani ya Kijiji cha Maraha Thai Village Ijumaa Iliyopita.Kila Ijumaa ya mwisho wa wiki Band Ya Skylight Wanapiga show Ndani ya Thai Village.Karibu Leo Upate burrudani ya nguvu yenye kukonga Roho yako na kutakuwa na Supriseeeeeee kibaoooo ndani ya Thai Village
          Hashimu Donode Akiimba kwa raha zake ndani ya Thai Village 
Shabiki huyu hakuweza kujizuia hisia zake pale alipoguswa na muziki mzuri uliokuwa ukiimbwa na Hashimu Donode
Donode Akiendelea kuimba na shabiki wake kwa Raha zaooooo
Digna Mpera akizipiga zile voca; kali za kumtoa nyoka pangoni
Mary Lukos Akifurahi na kucheza ala nzuriiii toka kwa wapiga vyombo wa Skylight Band Hawapo Pichani

PICHA::MAJESHI YA UINGEREZA YANAJIANDAA KWENDA KUSHAMBULIA KIKUNDI CHA ISIS

Lift-off: A Tornado jet takes off from RAF Marham, Norfolk believed to be on its way to RAF Akrotiri in Cyprus to help with the air strikes against ISIS in Iraq

Britain will today commit to a war lasting up to three years against ‘medieval’ Islamist fanatics spreading horror in Iraq.
In an emergency sitting of Parliament, MPs are expected overwhelmingly to back military action for what is already being called the Third Gulf War.
Air strikes are expected to start within hours of the 5pm vote.

The daughter of British aid worker David Haines, beheaded by the so-called Islamic State, last night made an emotional plea to the Government to do ‘whatever it takes’ to destroy the jihadis who murdered her father


MSANII MADEE AKAMATWA NA POLISI KWA KUDAIWA KUTEKA NA KUJERUHI,TAZAMA PICHA 4 HAPA

 Na Waandishi Wetu
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva a.k.a Rais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’ hivi karibuni alilala katika Kituo cha Polisi cha Kigamboni, Dar  akihusishwa na utekaji wa dereva wa bodaboda, Suedi Waziri (pichani) kisha kumpa kipigo ambapo inadaiwa alisoteshwa kinomanoma.
 Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva a.k.a Rais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’ akiwa mikononi mwa Polisi.
 Baada ya tukio hilo lililotokea mwishoni mwa wiki iliyopita, Ijumaa lilinasa picha zinazomuonyesha msanii huyo akihenyeshwa kituoni hapo huku mmoja wa watu wanaoishi karibu na eneo hilo akinyetisha kuwa, licha ya ustaa wake Madee alikiona cha mtemakuni.

TAZAMA PICHA 10 ZA MAELFU YA WAKIMBIZI TYOKA NCHINI SYRIA WAKIWA WAMEZUIWA KUINGIA NCHINI UTURUKI

 Stand-off: A tank faces dozens of cars clustered along the barbed wire border of Turkey and Syria where would-be jihadists are believed to be entering the country

 Waiting game: The border near Sanliurfa, Turkey, has long been a crossing point for ISIS recruits to get into Syria but now civilians are using it as an escape route out

 Influx: An estimated 1,300 people crossed into Turkey on Wednesday alone, and the total number since the fighting began near Kobani had risen to 144,000

  Blocked: Armed soldiers look away as Syrians implore them to let them through at the Yumurtalik crossing gate

PICHA;;HII NDIO INADAIWA NAKALA YA TALAKA YA AMBER ROSE TOKA KWA WIZ KHALIFA

This is shocking. TMZ is reporting that Amber Rose has filed for divorce from Wiz Khalifa whom she married just last year. Details are still sketchy but according to the court documents, she says they split on Monday and cites irreconcilable differences.
Amber is asking for full legal and physical custody of their 1-year-old son, Sebastian but she’s willing to give Wiz visitation rights. There’s a prenup as well which provides spousal support but she’s not challenging it.
TMZ photographer asks her if Wiz is keeping a close eye on Nick Cannon --- there are rumors they've hooked up
Celebrity relationships continue to be unpredictable.
Video (below) of Amber with some guy Tuesday in Bev Hills

BARAZA LA WANAWAKE CHADEMA KUANDAMANA KWA AMANI WIKI IJAYO

Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Taifa Chadema, (BAWACHA), Halima Mdee akisisitiza jambo wakati akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam  leo juu azma ya baraza hilo la wanawake kufanya maandamano makubwa ya kumshinikiza Rais Jakaya Kkwete asipokea rasimu  iliyotengenezwa na bunge maalum la katiba. mwenyekiti huyo alimesema maandamano hayo yamepangwa kufanyika katika wiki ijao hajataja siku gani lengo kubwa la maandamano ni kufikishwa ujumbe kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Jakaya Kikwete kuwa rasimu hiyo si ya wananchi huku akisema yatakuwa ya amani tuu


Baadhi ya wakazi wa mji wa dodoma leo wakipita mbele ya uzio wa Ofisi kuu ya CCM Mkoa huku  wakisoma ujumbe ulioandikwa kwenye uzio wa CCM  wenye maandishi yanayosomeka  Ufisadi no Katiba ,ujumbe huo haukujulikana umeandikwa na Watu gani  katika maeneo mbalimbali mjini hapa Dodoma

BALOZI SEIF ALI IDD AKANUSHA MADAI MBALIMBALI YALIYOTOLEWA NA GAZETI LA MTANZANIA KUHUSU KUJIUZULU KWA MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR.



Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Ali Idd akikanusha taarifa zilizoandikwa na gazeti la Mtanzania la Jumatano 24 Septemba, 2014. 
Waziri Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Mohammed Aboud akichangia mada wakati wa mkutano na waandishi wa habari kwa ajili ya kukanusha taarifa zilizoandikwa na Gazeti hilo. 


MTOTO AGONGWA NA GARI NA KUFARIKI IRINGA

Mtu mmoja amefariki mkoani Iringa baada ya kugongwa na gari. Akithibitisha kutokea kwa matukio hayo kamanda wa jeshi la polisi Mkoani Iringa ACP Ramadhani Mungi amesema Kelsensia Bonifasi umri miaka 7 mwanafunzi wa dalasa la kwanza shule ya msingi Sun Academy iliyopo maeneo ya Isakalilo Manispaa na mkoa wa Iringa amefariki papo hapo baada ya kugongwa na gari lenye namba za usajili T.306 CRM aina ya toyota Hiace.

MASHEIKH NA MAPADRE KUSAKATA KABUMBU UWANJA WA TAIFA OCTOBA 12 2014.

DSC_0010Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Alhadi Mussa Salim (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu maandalizi ya mchezo wa kirafiki wa mpira wa miguu kati ya Masheikh na Mapadre utakaofanyika uwanja wa Taifa Octoba 12-2014. Alhadi Salim ndiye ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi wa mchezo huo. Kushoto ni Katibu wa Kamati  ya Amani kutoka Kanisa la Anglikana Padri John Solomon na   Mwakilishi Mkazi wa Shirilka la KAS,Tanzania Stefan Reith.
DSC_0011Mwakilishi Mkazi wa Shirilka la KAS,Tanzania Stefan Reith (kushoto), akimkabidhi baadhi ya vifaa vya michezo Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es SalaamSheikhAlhadi Mussa Salim kwa ajili ya  maandalizi wa mechi hiyo.
OKTOBA 12 mwaka huu katika kuadhimisha siku ya amani duniani viongozi wa dini wanatarajia kujitupa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, wakiwa na lengo la kudumisha amani iliyopo nchini.

Wafuasi wa Boko Haram wajisalimisha

Jeshi nchini Nigeria limesema zaidi ya wafuasi 260 wa Boko Haram wamejisalimisha Kaskazini mwa nchi hiyo.
Jeshi hilo limesema katika mapambano limemuua mtu mmoja ambaye huwa anaonekana kwenye picha za video za propaganda za Boko haram akijidai kuwa Kiongozi wa wa kundi hilo, Abubakar Shekau.
Jeshi lilisema kuwa wapiganaji 135 walijisalimisha wakiwa na silaha zao katika eneo la Biu , jimbo la 

Asamoah Gyan akana madai ya kafara

Nahodha wa timu ya taifa ya Ghana, Asamoah Gyan, amekanusha madai kuwa alimtoa kafara yake ambaye pia alikuwa mwanamuziki mashuhuri nchini Ghana Castro.
Gyan amesema tetesi hizo ni za kushangaza sana wala hazina msingi.
Mwanamuziki huyo aliyekuwa anaiimba nyimbo za mtindo wa Afrobeats, ambaye jina lake halisi ni 

Mahakama ya Kisutu yawaachia wafuasi wa Chadema

 Mmoja wa wanachama wa Chadema, Kamugisha Ngaiza, alivyowekwa chini ya ulinzi na polisi hivi karibuni

Na Mwandishi wetu
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imewaachia huru kwa dhamana washitakiwa watatu wenye kesi namba173 ya mwaka 2014, kwa kosa la kumsindikiza Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Makao Mkuu ya Polisi.
Washitakiwa hao ni Ngaiza Kamugisha ambaye ni mfuasi wa chama hicho, Katibu wa BAVICHA Temeke, Benito Mwapinga na Elisante Bagenyi ambae ni mfuasi wa chama hicho, walifikishwa Mahakamani hapo kwa ajili ya kutolewa dhamana kufuatia maombi yaliyopelekwa na wakili wao 

SUAREZ AANZA NA VIJANA WA BARCELONA B

Mshambuliaji kutoka nchini Uruguay Luis Suarez, bado ana hamu ya kuwa sehemu ya kikosi cha FC Barcelona ambacho kwa msimu huu kipo chini ya meneja kutoka nchini Hispania Luis Enrique Martínez García.
Suarez, anaetumikia adhabu ya kufungiwa kucheza soka katika michuano ya kiushindani kwa kipindi cha miezi minne, ameonyesha hamu ya kutaka kurejea na kujiunga na wachezaji wengine wa FC

WIZARA YA AFYA YAKABIDHI MABASI 6 KWA VYUO VYA AFYA NCHIN


Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam kabla ya kukabidhi mabasi 6 kwa wakuu wa vyuo vya Afya kutoka katika maeneo mbalimbali .Mabasi hayo yatasaidia kuaondoa upotevu wa muda na adha ya usafiri waliyokuwa wakiipata wanafunzi,watumishi na wakufunzi wa vyuo hivyo kufika kwenye maeneo ya mafunzo kwa vitendo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo akikata utepe kwenye basi moja kati ya sita yaliyonunuliwa kwa ufadhili wa Mradi wa Mfuko wa Dunia mzunguko wa 9 ambayo yamekabidhiwa kwa wakuu wa vyuo vya afya jana jijini Dar es salaam.