Mwanamke mmoja ambaye jina lake ni Nomsa Dube mwenye umri wa
miaka 28 amemchoma mumewe sehemu za siri kwa maji ya moto baada ya kuhisi akiwa
namsaliti na mwanamke mwingine.
Baada ya kurudi nyumba mwanaume huyo alikiri kuwa na
wasichana ambao alikuwa akilala nao nje ya ndoa yake, na mkewe baada ya
kuambiwa hivyo alianza kumlaumu na kumuliza kwanin hakutumia kinga.
Licha ya mwanaume kuwa na michepuko nje ya ndoa yake lakini
ilikuwa tofauti kwa mkewe ambaye alikuwa muaminifu kwa mumewe ndipo
alipokasirika na kumchoma na maji ya moto kwa mujibu wake anasema mumewe
anabahati sana kutokana na kwamba hakumwambukiza laiti kama angelikuwa
kamuambukiza basi angefanya kitendo cha kikatili zaidi ya kumchoma na maji ya
moto mumewe.
Source: Kishymba Blog
No comments:
Post a Comment