Aliyekuwa mtoto wa waziri mkuu wa zamani wa nchini Kenya yani Raila Odinga aliyefariku week chache zilizopita Fidel Odinga kumbe alikuwa tajiri kiasi fulani mitandao mingi ya kenya leo imesheheni story kubwa ambapo inamuhusu yeye kumiliki hotel ya kifahari iliyoko Kisumu na hapa nimefanikiwa kupata picha kadha kutoka huko
MAFANIKIO, AFUA ZA VIJANA BALEHE NCHINI YAAINISHWA
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi
amesema Serikali imepata mafanikio mazuri kw...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment