huyo asiondoke (Sun), kipa wa Club Brugge Mathew Ryan, 22 amethibitishwa kuwa anataka kucheza ligi kuu ya England na Liverpool wanamtaka (Metro), mshambuliaji wa Tottenham Roberto Soldado, 29 anatakiwa na Bayer Leverkusen ya Ujerumani (Daily Mirror), dau la pauni milioni 5.5 la Swansea kumtaka kiungo wa Stuttgart, Alexandru Maxim, limekataliwa na klabu hiyo ya Ujerumani (Daily Mail), Manchester United wanajiandaa kutoa pauni milioni 15 kumrejesha beki Gerrard Pique, 27 kutoka Barcelona (Daily Express). Tetesi nyingine kesho tukijaaliwa. Cheers!NA SALIM KIKEKE
RC BALOZI BATILDA AWAOMBA VIONGOZI WA DINI WAHIMIZE WAUMINI KUJIANDIKISHA
KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
-
*Na Oscar Assenga,Tanga*
*MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi, Dkt Batilda Burian amewaomba viongozi wa
dini katika mahubiri yao wawahimize waumini kuhakikisha w...
25 minutes ago
No comments:
Post a Comment