Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, March 25, 2015

PICHA 5::Polisi wafanikiwa kuwatia nguvuni majambazi raia wa italia jana



 SEHEMU YA KITI ALIPOKAA NA KUPIGWA RISASI,
Habari zinasema kuwa polisi mkoani dar es salaam jana mchana walifanikiwa kuwatia mbaroni majambazi wawili ambao inasemekana ni raia wa italia baada ya kupora kiasi cha dola elfu kumi kwa mwananchi ndipo polisi walipoanza mapambano nao na hadi kuwatia nguvuni baada ya luwadhibiti na risasi.

 WAKIWA NJE YA APARTMENT YAO WALIKOKIMBILIA
 GARI WALIYOTUMIA KUPORA




 POLISI WAKIWATIA KWENYE GARI MARA BAADA YA KUWATIA NGUVUNI
 AKIONYESHA KOVU ALILOPIGWA RISASI
 WAKIPANDISHWA KWENYE GARI WOTE WAWILI


No comments:

Post a Comment