Mchezaji wa timu ya Herediano alikimbizwa hospitali baada ya kupigwa buti kichwani wakati wa michuano ya ya Ligi ya Mabingwa Amerika Kusini chini ya Shirikisho la Soka barani humo (Concacaf).Mechi hiyo ya nusu fainali kati ya Herediano ya Costa Rica dhidi ya Club America tukio hilo liliwashitua wengi uwanjani hapo.Huku dakika zikiwa zinayoyoma, beki wa Club America Paolo Goltz alikuwa akiosha mpira lakini buti lake liliishia kichwani mwa Cristhiam Lagos.
Waliokuwa na Miaka 16 wakati Sensa ya Watu na Makazi 2022 wana sifa ya
kupiga kura-NBS
-
*Ni katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa,w waonywa wapika takwimu za uongo.
Na Chalila.Kibuda
OFISI ya Taifa ya Takwimu(NBS) imesema taarifa ya serikali...
53 minutes ago
No comments:
Post a Comment