Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, April 10, 2015

NEWS ALERT:::WAZIRI WA KAZI NA AJIRA AMALIZA MGOMO WA MADEREVA

Waziri wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudencia Kabaka amefanikiwa kumaliza mgomo wa madereva baada ya kutangaza kufuta agizo lililokuwa likiwataka madereva wa mabasi na malori kwenda kusoma tena katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Kauli hii imekuja baada ya 

 
madereva wa mabasi yaendayo mikoani pamoja na mabasi yanayofanya kazi ndani ya jiji la Dar es Salaam kugoma huku wakitaka kuongea na viongozi wa juu wa serikalini ili kutatua tatizo lao.


CHANZO: TIMES FM

No comments:

Post a Comment