Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, April 10, 2015

TAZAMA PICHA 7 JINSI ILIVYOKUWA UBUNGO LEO BAINA YA POLISI NA MADEREVA


Baadhi ya madereva na makondakta wakiwa wamejikusanya kuoengelea hatma ya mgomo wao.

 Abiria waliokata tiketi za kwenda mikoani tangu jana wakiwa hawajui la kufanya.
 Polisi wakilinda usalama kwenye mkusanyiko huo.
 Umati ukiwa ndani ya kituo cha mabasi cha Ubungo
 Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, 
 
Kamishna Suleiman Kova,  akiwatuliza madereva waliogoma na kuwaahidi kutatuliwa tatizo lao.
  Polisi wakifanya doria maeneo ya Ubungo kuangalia hali ilivyo barabarani.
Mabasi yakiwa yameegeshwa kituo cha mabasi ya kwenda mikoani, Ubungo, jijini Dar,  kufuatia madereva kufanya mgomo wakipinga kubadilishiwa leseni na kutakiwa kwenda chuoni kabla ya kukabidhiwa leseni hizo.
PICHA: RICHARD BUKOS NA ISSA MNALLY  /GPL.

No comments:

Post a Comment