Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, April 11, 2015

Original Master Copy | Diamond & Khadija Kopa - NASEMA NAWE


Pamoja na kuwa wimbo mpya wa Diamond ulishfikia wengi kwenye mitandao inabidi kukubali kazi ya huyu kijana na kusikiliza Original Master Copy ya wimbo NASEMA NAWE aliyomshirikisha Khadija Kopa. Wimbo unapatikana rasmi kupitia HAPA
https://mkito.com/song/nasema-nawe/13840/bwi-1-27775


No comments:

Post a Comment