Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, April 11, 2015

TAZAMA PICHA::IMEGUNDULIKA, BONDIA ALIYEWAHI KUMTWANGA KHAN ANA VIDOLE SITA

Bondia Danny Garcia aliyewahi kumtwanga Amir Khan kwa KO imebainika ana vidole sita vya mguuni.Bondia huyo raia wa Puerto Rico hajawahi kuangishwa na kupigwa KO hali inayoelezwa kuwa anasaidiwa na mguu wake mkubwa wenye vidole sita na ‘balance’ ya kutosha.
SIKU ALIPOMKALISHA KHAN
Bingwa huyo wa Light Welterweight anayetambuliwa na WBC na WBA ana rekodi ya kucheza mapambano 29, hajapigwa hata moja na kati ya hayo 17 

 
ameshinda kwa KO ikiwemo ile aliyomtwanga Khan.

No comments:

Post a Comment