Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, July 6, 2015

Wanachama wawili CUF wapigwa risasi kwenye uandikishaji kwa BVR


Wanachama wawili wa CUF  wamepigwa Risasi na watu wasiofahamika waliojifunika sura  zao  wakati wa kuandikisha wakupiga kura Makunduchi, Zanzibar.
Tukio hilo limetokea  juzi    ambapo  majeruhi hao  wamelazwa katika Hospital ya  Hospitali ya Arahma

No comments:

Post a Comment