Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, September 29, 2015

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL AONGOZA MAZISHI YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA TUMISHI WA UMMA MAREHEMU CELINA KOMBANI LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Udongo kwenye kaburi la Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma marehemu Celina Kombani wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo shambani kwake katika kijiji cha Lukobe mkoani Morogoro. (Picha na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Shada la maua kwenye kaburi la Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma marehemu Celina Kombani wakati wa mazishi yake yaliyofanyika shambani kwake katika kijiji cha Lukobe mkoani Morogoro.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka Shada la maua kwenye kaburi la Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma marehemu Celina Kombani.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mgombea Mwenza wa Urais CCM Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka Shada la maua kwenye kaburi la Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma marehemu Celina Kombani.

 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Bw. Hamadi Pungurani Mume wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma marehemu Celina Kombani Baada ya kumalizika mazishi yake.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Watoto wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma marehemu Celina Kombani Baada ya kumalizika mazishi yake yaliyofanyika shambani kwake katika kijiji cha Lukobe mkoani Morogoro. 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu Pinda wakitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma marehemu Celina Kombani.
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma marehemu Celina Kombani.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka shada la maua kwenye kaburi la Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma marehemu Celina Kombani wakati wa mazishi yake.

No comments:

Post a Comment