Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, October 29, 2015

BREAKING NEWS: DKT JOHN POMBE MAGUFULI ASHINDA UCHAGUZI MKUU WA URAIS KWA KURA 8,882,935


Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Jaji Damian Lubuva amtangaza Dk. John Pombe Magufuli kuwa mshindi wa kiti cha urais baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu nchini kote na kumshinda mpinzania wake mkuu Ndugu Edwarld Lowasa aliyekuwa anagombea kwa tiketi ya Chadema kupitia muungano wa vyama vinne vya upinzani UKAWA, Dk John Pombe Magufuli ameshinda kwa kura 8.882.935 sawa na asilimia 58.46 huku Edwarld Lowasa akipata kura 6.072.848 sawa na asilimia 39.97.
????????????????????????????????????

No comments:

Post a Comment