Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, October 26, 2015

MAKUNDI YA VIJANA WAANDAMANA MITAANI ZANZIBAR BAADA YA MAALIM SEF KUJITANGAZIA USHINDI

Hali  ya  Usalama  Zanzibar  sio  nzuri, Polisi  wameizingira  Ofisi kuu  ya  CUF  baada  ya  mgombea  urais  wa  chama  hicho,Maalim Seif Sharif  Hamad  kujitangaza  mshindi  dhidi  ya  mpinzani  wake  ambaye  Dr All Mohamed  Shein
Hali  sio  nzuri katika mji wa Chake Chake, hii ni baada ya vijana   wa  CUF  kuingilia  barabarani  wakidai  wanashangilia  ushindi wa  mgombea  wao  wa  Urais.
FFU  wameingilia  kati, wakatoa  maonyo  wakiwataka  wananchi watawanyike  lakini  wakakaidi, ndipo  nguvu  ya  ziada  ya  mabomu  ya  machozi  ilipotumika

 

No comments:

Post a Comment