Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, December 16, 2015

PICHA 5 MELI YAWAKA MOTO ZANZIBARMeli ya royal ilikuwa ikitokea Unguja kuelekea Pemba hivi sasa inaungua, kwa Bahati Meli ya Serengeti ilikuwa inatokea Pemba kwenda unguja imeikuta njiani hivyo shughuli za uzimaji moto na uokozi Wa abiria na Mali zao inafanyika.

Tuombeni dua wafanikiwe yote mawili kuzima moto na kuokoa InshaAllah

Mwenye jamaa anaefanyakazi melini au aliyepanda meli moja kati ya hizo afuatilie zaidi.

Allah awafanyie wepesi ndugu zetu walosibiwa na mitihani hii.
Amin

Source: call from baharia ndani ya serengeti

No comments:

Post a Comment