Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, January 26, 2016

KESI YA BOMOABOMOA HUKUMU KUTOLEWA JANUARY 26 MWAKA

Wakili wa upande wa walalamikaji (waliobomolewa )Abubakari Salim akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya kuahirishwa kwa kesi ya Bomoabomoa kwa Wakazi wanaoishi maeneo ya mabondeni mpaka January 26 mwaka huu ambapo hukumu itatolewa rasmi.
Wananchi wakimsikiliza Wakili wa upande wa walalamikaji (waliobomolewa )Abubakari Salim leo baaada ya kuahirishwa kwa kesi ya 

 
Bomoabomoa,katika Mahakama Kuu,Kitengo cha Ardhi jijini Dar es Salaam.Picha na Emmanue Massaka wa Globu ya jamii

No comments:

Post a Comment