Nyumba ilichomwa moto na kuvunjwa vunjwa. Nyumba ya bibi Irene iliyo teketezwa leo kwa moto kwa tuuma za uchawi. Bibi huyo ambaye amekuwa akisadikiwa kuwa na tabia ya
kuwachukuwa watoto wa majirani zake kwa nguvu ya giza ameumbuka leo baada ya mtoto mmoja aliye potea kwa muda mrefu kwao na kutajwa kuwa alishafariki dunia kisha leo kijana huyo ana kwa ana akakutana na ndugu yake.
Mshangao ulitawala kwa ndugu huyo ambaye kwa ujasili alianza kumuuliza unaishi wapi na kijana yule ndo akamwelekeza kua nipo kwa bibi mmoja anaitwa bibi Irene na tunaishi na wenzangu wengine ambao nilikutana nao pale kwa bibi wakiongezeka siku baada ya siku
VIONGOZI GEITA WATAKA USHIRIKIANO WA POLISI JAMII UDUMISHWE KUPUNGUZA
UHALIFU
-
Wananchi wa Mkoa wa Geita wametakiwa kuendelea kudumisha na kuimarisha
ushirikiano uliopo kati ya Jeshi la Polisi Jamii na wananchi, ili kupunguza
uhalif...
12 hours ago


No comments:
Post a Comment