Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, July 17, 2012

Tanesco yaendelea na Zoezi lake la Kukamata wanaoiba Umeme jijini Dar !




Meneja wa Tanesco kanda ya Temeke,Richard Mallamia akiwaonyesha waandsishi wa habari mita iliyochezewa na kuunganishwa umeme kinyume na mfumo wa kawaida ilikuiba umeme kwenye duka moja eneo la Kigamboni ambapo zoezi la kukamata wezi wa umeme linaendelea.
Mafundi wa Tanesco wakipitia pita iliyokuwa ikitumika kwa kuiba Umeme.
Wataalamu wa mifumo ya umeme na mafundi wa Tanesco kanda ya Temeke wakiangalia namna mita ilivyochezewa na kuiba umeme kwenye nyumba ya mfanyabishara Jamal Hassan eneo la Kigamboni na kuiba umeme.

No comments:

Post a Comment