MARA
kwa mara jamii imekuwa ikisikia Wanajeshi wakiwapiga Askari wa Usalama
barabarani hasa Jijini Dar es Salaam Trafiki wa Moshi huenda
wamechoshwa na unyanyasaji huo kwa walinzi hawa wa amani na wasimamizi
wa sheria amapo huko Mkoani Kilimanjaro, Askari wa kikosi cha usalama
barabarani mjini Moshi ambao majina yao
hayakufahamika wakimpiga askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)
katika kituo kikuu cha mabasi mjini hapa hivi karibuni,baada ya
kutokea kutoelewana,mwanajeshi huyo alikuwa akimtetea dereva wa Hiace
aliyeshikwa na trafiki hao.//Picha na Nakajumo James
NAIBU WAZIRI KIHENZILE AFUNGUA MKUTANO WA 18 WA PAMOJA WA MAPITIO YA SEKTA
YA USAFIRISHAJI
-
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile, Disemba 15, 2025 amefungua
rasmi Mkutano wa 18 wa Pamoja wa Mapitio ya Sekta ya Usafirishaji
unaofanyi...
25 minutes ago


No comments:
Post a Comment