Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, March 28, 2013

SIO ISHU:::DOGO JANJA ADANGANYA UMMA KUHUSIANA NA ELIMU YAKE SOMA HAPA

 
Hapa Dogo Janjaro kaandika yupo kidato cha Tatu baada ya kufaulu kidato cha pili.... Lakini Dogo hajafaulu Kama anavyodai, amefeli Kwa kupata wastani wa %27. Somo la hesabu alipata sifuri. Anatakiwa kurudia kidato cha pili.... Hii ni baada ya kudhibitishwa na mwalimu wake wa taaluma shule ya sekondari makongo
 
SOURCE: MILARD AYO.

No comments:

Post a Comment