Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, March 28, 2013

Tazama Picha Za Tanzania Women of Achievement Awards 2013



Washindi wakijikusanya pamoja kufurahia ushindi huo
Tarehe 28 machi 2013 ni siku iliyoleta furaha katika macho ya wengi, hasa wale wanawake ambao wamepata tuzo hizi, tuzo ambazo zinahusika na kutambua pamoja na kuwapa moyo wanawake wa Tanzania ambao wana jitihada na wanafanya vizuri katika kazi zao, hizi ni baadhi ya picha za sherehe zilizofanyika katika hoteli ya Serena, iliyoko jijini Dar es salaam.
 Glory Matoi mshindi wa Tuzo za mwanamke mwenye mafanikio anaechipukia (Young achiever)
 Dina Marios akichukua tuzo yake ya Women of the Year

 Dr.Regina Kapinga akishukuru baada ya tuzo ya Science & Technology award
 Dr.Linda Ezekiel mshindi wa kitengo cha Afya
 Dr.Ruth Meena ambae alipokea tuzo katika kitengo cha Elimu

 
 Agriculture Award imeenda kwa mama Emiliana Eligaesha
 Band ya "No strings attached" ambayo imewakilisha


No comments:

Post a Comment