Anasema
ulalapo usiweke simu chini ya mto.Simu tunazo zitumia zinatoa mionzi
mibayaambayo ni hatari. Mionzi hiyo inaweza kukuletea matatizo ya
kichwa pia inaweza kusabisha kuumwa na kichwa na kupata maumivu ya
misuli.
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment