Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, May 28, 2013

ANGALIA PICHA YA JAMAA AKAMATWA AIKIIBA NYAYA ZA MKONGO WA TAIFA


Mwizi wa mkongo wa mawasiliano amekamatwa akiwa na vipande vya mkongo maeneo ya boko darajani jijini Dar es salaam. Matukio kama haya yamekuwa ni vipingamizi katika kutoa huduma bora kwa wateja wetu.
Kutokana na hali hiyo, sisi kama wadau wa mawasiliano, tunapenda kuwaasa Watanzania kwa ujumla, kama kweli tuna uzalendo wa kweli na mapenzi ya dhati na kampuni yetu ya mawasiliano inabidi  kujitoa zaidi katika kufanikisha usalama wa miundombinu ya kampuni yetu.
Kwa matukio yeyote kama haya naomba msisite kutoa taarifa polisi au toa taarifa kwa namba zifuatazo:- 0737206622 , 07372066230737206624 ,
MSEMAJI
OFISI ZA MKONGO WA TAIFA

1 comment:

  1. Maisha Magumu ndio yanasababisha wafanye hivyo
    naamini hawapendi.

    ReplyDelete