Hii ni kati ya mahojiano ya mwisho mwisho aliyokuwepo marehemu Albert Mangwea kabla hajafariki, Izzo Bizness alikuja kuitambulisha ngoma yake inayoitwa "Ball Player" aliyomshirikisha marehemu Albert Mangwea na Quick Rocka..Siku hiyo marehemu Albert Mangwea alitisha sana Ngwair anafahamika sana kwa ukali wake wa mitindo…huru (Free style)...Rest In Peace!! Ngwair.
Arusha Yageuza Bodaboda Kuwa Fursa Mpya
-
Na Pamela Mollel,Arusha.
Jiji la Arusha limeanza ukurasa mpya katika sekta ya bodaboda baada ya Mkuu
wa Wilaya ya Arusha, Joseph Modest Mkude, kuzindua m...
8 hours ago

No comments:
Post a Comment