DR. ASHA ROSE MIGIRO AONGOZA MATEMBEZI YA HISANI KUCHANGIA FEDHA KATIKA KUTOKOMEZA UGONJWA WA FISTULA NA KUZUIA VIFO VYA MAMA NA MTOTO
Dr.
Asha Rose Migiro katikati Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa Umoja wa
Mataifa na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kiamataifa Chama cha
Mapinduzi CCM akiwasili katika hoteli ya Golden Tulip mahali ambapo
matembezi ya hisani kuchangia fedha kwa ajili ya kuapambana na Ugongwa
wa Fistula na kuzuia vifo kwa mama na mtoto yamefanyika jijini Dar es
salaam na kushirikisha taasisi na mampuni mbalimbali nchini, matembezi
hayo yameandaliwa na benki ya Barclays, kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa
Barclays Kihara Maina na kushoto ni Teddy Mapunda Mkurugenzi wa kampuni
ya Montage ambayo ndiyo imeratibu matembezi hayo Dr.
Asha Rose Migiro Kushoto Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa Umoja wa Mataifa
na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kiamataifa Chama cha Mapinduzi
CCM akishiriki mazoezi kabla ya kuanza kwa matembezi hayo leo asubuhi
kutoka kulia ni Dr. Aloyce Nzuki Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya Utalii
TTB, Abdulkarim Shah Mbunge wa Mafia na mjube wa bodi ya wakurugenzi ya TTB Kihara Maina Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya BarclaysDr. Yasin akiongoza mazoezi kabla ya kuanza kwa matembezi hayo leo asubuhi. Dr.
Asha Rose Migiro Kushoto Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa Umoja wa Mataifa
na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kiamataifa Chama cha Mapinduzi
CCM akishiriki mazoezi kabla ya kuanza kwa matembezi hayo leo asubuhi
kutoka kulia ni Dr. Aloyce Nzuki Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya Utalii
TTB, Abdulkarim Shah Mbunge wa Mafia na mjube wa bodi
ya wakurugenzi ya TTB, Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi TTB Baozi
Charles Sanga na Kihara Maina Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya BarclaysBendi ya polisi ikiongoza matembezi hayo Matembezi yakiendelea Yalipitia katika mitaa mbalimbali ya Oysterbay jijini Dar es salaam na kuishia Golden Tulip Yakielekea kumalizika rasmi Ikawa ni kupasha mwili baada ya kumalizika kwa matembezi hayo Mmoja wa walemavu alishiriki bega kwa bega katika matembezi hayo hapa akiwa anafanya mazoezi
KWA YANGA HII SIMBA IFUNGE NGUO ZIKAZE JUMAMOSI
-
Jumamosi, Machi 8, rekodi nyingine inakwenda kuandikwa katika mechi za
watani wa jadi kati ya Yanga na Simba, zitakapoumana katika mchezo wa Ligi
Kuu ya ...
Blog Zinazoanzia na Herufi ya W
-
*1. Wamtaani*
www.wamtaani.com
*2. Wanabidii Blog*
wanabidiiblog.blogspot.com
*3. Watanzania Waishio Nje ya Nchi*
watanzaniaughaibuni.blog...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment