M2 THE P
amefanikiwa kutoa salamu zake za mwisho kwa rafiki yake kipenzi
ambaye alikuwa naye huko Afrika kusini tena walikuwa ndani ya
chumba kimoja kabla ya mauti kumkuta Ngwea..Mwanzoni, M 2 THE P
alikuwa amefichwa na kudanganywa kuwa Ngwea alikuwa ametangulia
Tanzania. Baadaye Maggie alilazimika kumweleza ukweli
TAASISI REVIVAL EDUCATION TRUST KUSAIDIA WANAFUNZI 100 KUREJEA SHULE
-
Na Mwandishi wetu
SHIRIKA la Revival Education Trust limepanga kuwasaidia wanafunzi 100
kutoka familia zenye changamoto za kiuchumi kurejea shuleni mwaka...
1 hour ago




No comments:
Post a Comment