skip to main |
skip to sidebar
MR NICE APIGWA CHINI NA LABEL ALIYOKUA AKIFANYA NAYO KAZI KENYA, KISA NI MVIVU. SOMA ZAIDI HAPA
GrandPa
Records Ya Kenya Imevunja Mkataba Wake Wa kazi na Msanii Mr Nice kutoka
Tanzania Baada ya miezi michache ya kufanya nae kazi. Fahamu Mr Nice
alipewa mkataba na GrandPa Records huku akijua kuwa ana mkataba mwingine
Tanzania na Producer Lamar. GrandPa Wamesema Mr Nice Ni Msanii Mvivu na
Asiye toa ushirikiano kwenye kazi kabisa ndio maana wameamua Kuvunja
mkataba wake. Hii Ni Post ya FaceBook Ya GrandPa Records. Bado Taarifa
Zina Kuja Kaa Na Mimi Utaiskia Interview Yao Hapa Soon
No comments:
Post a Comment