Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na askari na
maafisa magereza kabla ya kufunga mafunzo ya Uongozi wa ngazi za juu
kwa maafisa wa magereza kozi namba 20 ya mwaka 2013. Sherehe hiyo
ilifanyika katika Chuo cha Maafisa wa Magereza Ukonga, jijini Dar es
Salaam.
PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
No comments:
Post a Comment