Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, July 24, 2013

ANGALIA PICHA YA MATUKIO YALIOJIRI KESI YA MAKADA WA CHADEMA


Mtuhumiwa Hery Kileo mwenye  nguo nyeusi pamoja na wenzake wanaoshtakiwa kwa kesi ya kumwagia tindikali Musa Tesha wakiingia mahakamani jana mjini Tabota.
Mke wa Henry Kileo akiwa na M/Kiti wa Chadema Tabora   Mbaruk  pamoja na ,

Kwa maoni ya Wakili Msomi PK ni kwamba Jaji alichukulia kesi hiyo  na pia akaheshimu na kuzingatia hali halisi ya Wakili, kwamba anatoka mbali Dar es salaam na hivyo akaamuru Hoja za pande zote mbili zipelekwe kimaandishi kuwaondolea usumbufu hasa wapeleka maombi ambao ni sisi tunaosafiri kila siku. Na kwa sababu hizo basi tar 30july Jaji atataja tar ya uamuzi.

No comments:

Post a Comment