Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, July 24, 2013

Marekani yaitaka Rwanda kusitisha mara moja misaada ya kijeshi kwa waasi wa M23 nchini Congo



- Uchunguzi wa UN umepata ushahidi wa wazi kuwa Serikali ya Rais Kagame imekuwa ikitoa msaada wa kijeshi kwa waasi nchini Congo.

Pichani ni waasi wa M23 wakiwa mjini Bunagana - Mei 11, 2013
 

No comments:

Post a Comment