Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, July 7, 2013

HAYA SASA KAMA ULIKOSA PICHA ZA HARUSI YA DIDA WA TIMES FM PICHA ZOTE HIZI HAPA TAZAMA


Namshukuru sana Mungu kwa tukio hili na ninaipenda sana ndoa yangu. Mlio-post picha za simu nyingi hazikutoka vizuri, haya sasa mzigo huu hapa..... na dj sekINSHAALAH!!!! Rasmi sasa Dida wa Ezden

Bi Hindu akiongea maneno yake ya msingi kwa maharusi.... Bwana mdogo na dj sek hapo chini ni Deen The Next Big Thing (The Next Rocker)

 Baba mzazi wa Ezden upande wake na Upande wa Dida ni uncle wa bi harusi...


 Maharusi na brother wa Bi Harusi Mr. Athumani...

 Kabla ya ndoa stori zilikuepo za hapa na pale....

 Ndoa maalum ya KIISLAM hapo kikisainiwa cheti cha ndoa....

 Ndoa maalum ya KIISLAM hapo kikisainiwa cheti cha ndoa....

 A close-up shot of a wedding certificate...

 Deen The Next Big Thing talking to dad, next to mum...

 Cousin Brother wa Bwana Harusi Mr. Taiz, Ezden The Rocker, na dj sekDida wa E na Baba wa Bwana Harusi Mr. J4...

 Deen shaking the hand of a Bi Harusi...

Dua sasa hapa...All the BLESSINGS.... Alhamdulillah...

Hii sasa ndio ndoa inafungwa aliyeshikana mkono na Bwana Harusi ni kaka wa Bi Harusi Mr. Hussein Shaibu

 Kwa walio wahi kuhudhuria harusi za kiislamu kuna hii kitu wengine huita Kombe wengine huita kula solo... hapa bwana Harusi akiweka chakula ambacho anaenda kula mkewe, kama hujui kuhusu hii kitu uliza kwa waislamu wakupe zaidi. Misosi kibao, mwendo wa draft hapo dah....!!!!!

 Mdogo wa Bwana Harusi Sufian Jumanne na upande wa Bi harusi ni mashost.... pamoja sana!!!

 It is what it is.....!!!!

 Maharusi  na Mama Ezden (Mama mzazi wa Bw. Harusi... Mama Ezden (Bi Saada) akimpatia mkwe wake zawadi ya Khanga....

 Toka Times Fm 100.5 anaitwa Mariam Kitosi wa Hatua Tatu program akiwa amepozi na maharusi...

 Hii sector achana nayo kabisa ndugu yangu....

 Mamaa Dotnata naye alikuwepo kutupa support, shukrani sana mama etu....

 Mama na wanae...

 Mama mzazi wa Dida hapo kati akifurahi siku hii muhimu.... Asante mama, tunakupenda sana....

 Bi Hindu, Ezden, Deen, Mama Ezden, Dida na Mama Dida...

 No caption ndugu zangu....

 Kutoka Times Fm 100.5 ni waiziri wa WIZARA ya Michezo Mr. Clifford Mario Ndimbo akiweka pozi swafi na maharusi... Thanx a lot brother kwa support


 VJ Penny, Ezden, Deen, Dida na Sauda Mwilima... Thanx our friends...

 Mamaa Sandrah, thanx alot kwa support...

 Matron Sauda Mwilima pamoja sana ndugu....

 Dua sasa ya bwana harusi anyomwombea mkewe baada ya kupewa mke....

 Ustaadh aliyefungisha ndo hii Sheikh Mtiga....

 Hapa katika picha ya pamoja na wazazi wetu...

Wazazi.... Tunashukuru sna kwa yote mazuri....

Na baada ya ndoa ni ndani ya Range na kuelekea kunakohusika. Usikose kufuatilia kilichoendelea hapa hapa baadae kidogo..... Tunawashukuru wote walio na sisi wakati wote, na wale wenye chuki tunawapenda pia...!!! IME-HAPPEN

No comments:

Post a Comment