Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, July 7, 2013

BONGO FLEVA WAICHAPA BONGO MUVI KWA PENALTI 2-1 TAMASHA LA MATUMAINI


Nahodha wa Bongo Fleva, Hamis Baba 'H Baba' akipokea kombe kutoka kwa Mhe. William Ngeleja.
Timu ya Bongo Fleva imeibuka kidedea kwa kuichapa Bongo Muvi mabao 3-2 katika mchezo wao wa leo kwenye Tamasha la Matumaini 2013. Mpaka filimbi ya mwisho inapulizwa mabao yalikuwa 1-1 ndipo zikaamriwa penalti na Bongo Fleva kuibuka kifua mbele kwa penalti 2-1


                                                                    KR AKISHANGILIA
 

No comments:

Post a Comment