Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, July 24, 2013

Rais Shein Awasili Mjini Bokoba kuhudhuria sherehe za Mashujaa kesho


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Bukoba Fabian Masawe, alipowasili katika kiwanja cha Ndege cha Bukoba leo mchana,akiwa katika Mkoa huo Rais atashiriki katika maadhimisho ya siku ya Mashujaa,ambapo Kitaifa yatafanyika kesho Mkoani Bukoba.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozimbalimbali wa Mkoa wa Bukoba mara alipowasili katika kiwanja cha Ndege cha Bukoba leo
mchana,ambapo atashiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa,ambapo Kitaifa yatakuwa kesho katika Mkoa huo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Bokoba mara alipowasili katika kiwanja cha Ndege cha Bukoba leo mchana,ambapo atashiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa,ambapo Kitaifa yatakuwa kesho katika Mkoa huo. [Picha na Ramadhan Othman,Mkoani Bukoba.]

No comments:

Post a Comment