Picha ya
juu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kiislamu nchini , Shekhe Ponda Issa
Ponda,akipata matibabu jana muda mfupi baada ya kuumizwa na kitu chenye
ncha kali kwenye bega lake la kulia wakati akiekelea katika Msikiti wa
Mungu Mmoja Dini Moja wa Mjini Morogoro baada ya kumalizika kwa
kongamano ya Dini ya Kiislamu jana Mkasa huo ulitokea janamajira ya saa
12: 15 za jioni eneo la barabara ya Tumbaku karibu na Fire, mara baada
ya kumaliza kwa Kongamano la Kiislamu lililofanyika kwenye uwanja wa
Shule ya Msingi Kiwanja Cha Ndege, Kata ya Saba Saba , Manispaa ya
Morogoro.Picha ya chini baada ya kwanza juu akiwa hospitali ya taifa ya
muhimbili mchana huu kwa ajili ya matibabu
KATIBU
wa Jumuiya ya Kiislamu nchini , Shekhe Ponda Issa Ponda akiwa anaingizwa
katika chumba cha matibabu hospitali ya taifa ya muhimbili -MOI leo
mchana, baada ya kupokelewa katika Hospitali ya muhimbili.
No comments:
Post a Comment