Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, August 21, 2013

DK.Shein afanya Mabadiliko katika Wizara za Serikali ya Mapinduzi

IMG_3062 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_3071 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Haji Omar Kheir,kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_3083 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Haroun Ali Suleiman, kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_3092Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Zainab Omar Mohamed,kuwa Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana  Wanawake na Watoto,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment