Meneja
Uhusiano wa Mamlaka ya mawasiliano Nchini Tanzania TCRA Bw. Inocent
Mungi ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Profesa John Nkoma
akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kuanza kwa ushirikiano kati
ya chuo Kikuu cha Galgotias University cha India na chuo cha Uhasibu
cha Arusha Institute Of Accountancy Arusha (IAA) wananfunzi kutoka
Tanzania watakwenda kusoma katika chuo hicho kwa kozi za Master Degree
in Software Engneering, Information Security na Computer Applications,
wanaoshuhudia tukio hilo ni Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)
Profesa Johannes Monyo kushoto na Dr Ashok Saxsena Makamu Mkuu wa Chuo
Kikuu cha Golgotias, uzinduzi huo umefanyika jana kwenye hoteli ya
Holiday Inn Posta
Meneja
Uhusiano wa Mamlaka ya mawasiliano Nchini Tanzania TCRA Bw. Inocent
Mungi ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Profesa John Nkoma
akionyesha mikataba hiyo mara baada ya uzinduzi rasmi wa kuanza kwa
ushirikiano kati ya chuo Kikuu cha Galgotias University cha India na
chuo cha Uhasibu cha Arusha Institute Of Accountancy Arusha (IAA)
wanaoshuhudia tukio hilo kupiga makofi ni Mkuu wa Chuo cha (IAA) Profesa
Johannes Monyo kushoto na Dr. Ashok Saxsena Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu
cha Golgotias, uzinduzi huo umefanyika jana kwenye hoteli ya Holiday Inn
Posta
Mkuu wa Chuo cha IAA Profesa Johannes Monyo kushoto ba Dk Ashok Saxsena
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Golgotias wakibadilishana mikataba mara
baada ya uzinduzi huo umefanyika jana kwenye hoteli ya Holiday Inn
Posta, katikati ni Meneja Uhusiano wa Mamlaka ya mawasiliano Nchini Tanzania TCRA Bw. Inocent Mungi
Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Profesa Johannes Monyo kushoto
na Dk Ashok Saxsena Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Golgotias, wakionyesha
mikataba mara baada ya uzinduzi huo umefanyika jana kwenye hoteli ya
Holiday Inn Posta, katikati ni Meneja Uhusiano wa Mamlaka ya mawasiliano Nchini Tanzania TCRA Bw. Inocent Mungi
Dr Suleiman Mohamed Mjumbe wa Baraza la Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) akizungumza katika uzinduzi huo
Dk
Ashok Saxsena Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Galgotias akielezea
mipango mara baada ya kuingia mkataba wa ushirikiano na chuo cha
Uhasibu Arusha (IAA)
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika uzinduzi huo jana
Wawakilishi wa vyuo mbalimbali na taasisi walioalikwa wakiwa katika hafla hiyo
Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Profesa Johannes Monyo akizungumza katika uzinduzi huo jana

No comments:
Post a Comment