skip to main |
skip to sidebar
HII NDIYO MOJA YA MESEJI YA VITISHO ALIYO TUMIWA NAY WA MITEGO, ADAI KUTUMIWA NA WATU WALIOKUWA KATIKA KAMATI YA MAZISHI YA NGWAIR
Baada ya kuachia wimbo wake wa Salamu zao Nay Wa Mitego amedai kuwa
ameanza kupokea vitisho kutoka kwa watu mbali mbali hasa wale waliokuwa
kwenye maandalizi ya mazishi ya marehemu Ngwair hayo ameyasema kupitia
akaunti yake ya Instagram
nay pia amewashauri wale waliojitajilisha kupitia msiba wa ngwair
kurudisha pesa hizo kwenye familia ya marehemu ikibidi hata kimya kimya
hii ni moja ya meseji aliyotumiwa Nay
pia alimalizia kwa komennti hii
“Zipo nyingi zingine za vitisho nitazipost zote watu wangu mjue leo
nimeanza na hiyo ..!! ukweli unauma sana cogopi vitisho vyenu ,,
Pelekeni hela kwa ndugu wa marehem bado nafasi mnayo ata kimya kimya,,
mi nikifa siihitaji kamati za kisenge kwenye msiba wangu,, maana watu
wanafanya misiba ye2 mitaji yao …!! #966
No comments:
Post a Comment