Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, September 9, 2013

PICHA: HAPA NDIPO NYUMBANI KWA MAREHEMU ASKOFU KULOLA...!!


Nyumba ya Marehemu Askofu Moses Kulola (kushoto). Kulia ni jiko. Eneo la jiko.   ...Nyumba za wajukuu pamoja na wageni zikiendelea kujengwa.
Kibao kinachoonesha taasisi ya Marehemu Kulola iliyopo katika nyumba yake.   …Sehemu ya mji wa Chanika, jirani na nyumbani kwa Askofu Kulola.
Askofu Moses Kulola alifariki na kuzikwa Jumatano iliyopita jijini Mwanza. Lakini alikuwa na makazi Chanika nje kidogo ya jiji la Dar. Mwandishi wetu alifika na kukuta makazi hayo ambayo ni ya kawaida sana na kuonekana ni tofauti na maaskofu au wachungaji wengine wanaopenda vitu vya kifahari.
Habari kamili kuhusu utajiri wa Askofu Kulola soma katika gazeti la Uwazi kesho.


SOURCE: GPL

No comments:

Post a Comment