Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, September 9, 2013

PICHA ZA MREMBO ALIYE UWAWA KIKATILI NA MUMEWA KWA KUTOBOLEWA KOROMEO


Mrembo Yusta Mkali, mkazi wa Kawe, Dar ambaye alikuwa mke wa mtu anadaiwa kuuawa kwa kutobolewa koromeo na mumewe, Musa Senkando na kusababisha simulizi ya kutoa machozi kisa kikielezwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.

Polisi wa kituo cha Kawe wakiukagua mwili wa marehemu Yusta.
Mtuhumiwa wa mauaji, Musa Senkando.
Mwili wa marehemu Yusta ukipelekwa kuhifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala.

Marehemu Yusta Mkali enzi za uhai wake.

Wakazi wa Kawe wakiwa na simanzi wakati mwili wa marehemu ukipelekwa hospitali.

No comments:

Post a Comment