Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, September 9, 2013

RAIS JAKAYA KIKWETE KATIKA ZIARA MKOANI MWANZA-AZURU WILAYA YA NYAMAGANA NA ILEMELA


IMG_0646Rais Jakaya Kikwete akifuatana na Mbunge wa Nyamagana Mheshimiwa Ezekiel Wenje, akiwapungia mamia ya wananchi waliokuwa nje ya ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza wakati Rais alipoenda kupokea taarifa ya wilaya ya Nyamagana  taqrehe 8.9.2013.  Rais Kikwete yupo mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi ya siku sitaIMG_0688Rais Jakaya Kikwete akizindua rasmi mradi wa kufua umeme wa megawati 60 katika eneo la Nyakato  hapa Mwanza kwa kukata utepe na baadaye kwa kubonyeza kitufe huku akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme nchini TANESCO Mhandisi Felchim Mramba akifuatiwa na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo, Rais Kikwete na wa kwanza kulia ni Mbunge wa Nyamagana Mheshimiwa Ezekiel Wenje tarehe 8.9.2013.IMG_0698Rais Jakaya Kikwete akizindua rasmi mradi wa kufua umeme wa megawati 60 katika eneo la Nyakato  hapa Mwanza kwa kukata utepe na baadaye kwa kubonyeza kitufe huku akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme nchini TANESCO Mhandisi Felchim Mramba akifuatiwa na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo, Rais Kikwete na wa kwanza kulia ni Mbunge wa Nyamagana Mheshimiwa Ezekiel Wenje tarehe 8.9.2013.
IMG_0725Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza jambo na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo mara tu baada ya Rais kuzindua rasmi mradi wa umeme wa megawati 60 unaotumia mafuta mazito huko Nyakato Mwanza tarehe 8.9.2013.IMG_0775Rais Jakaya Kikwete akifungua rasmi kituo cha Polisi Nyakato kilichogharimu shs 450 milioni ambazo kwa asilimia kubwa ya fedha  za ujenzi huo zilitolewa na wananchi wa eneo hilo. Wa kwanza kushotot ni Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza  Ernest Mangu , Mheshimiwa Ezekiel Wenje, Rais, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng. Evarist Ndikilo na wa mwisho ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mheshimiwa Perera Silima.IMG_0783Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia Makamanda na askari wa Jeshi la Polisi na wananchi wa Nyakato mara tu baada ya kufungua kituo cha Polisi na baadaye Rais Kikwete alipiga picha ya pamoja na viongozimbalimbali waliohudhuria sherehe hizo tarehe 8.9.2013IMG_0794Rais jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na makamandaIMG_0825Rais JaKaya Kikwete akiwasalimia baadhi ya wafanyakazi wa hospitali  ya Wilaya ya Nyamagana mara tu alipofika hospitalini hapo kwa ajili ya kufungua rasmi jingo la upasuaji na jingo la wodi ya wazazi tarehe 8.9.2013.IMG_0884Rais Jakaya Kikwete akifungua rasmi majengo ya upasuaji na wodi ya wazazi  kwenye hospitali ya Wilaya ya NyamaganaIMG_0955Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mbunge wa Ilemela Mheshimiwa Aines Kiwia mara baada ya Rais kupokea taarifa ya Wilaya ya Ilemela kwenye ofisi ya Mkuu wa wilaya hiyo tarehe 8.9.2013.IMG_1036Baadhi ya waumini wa Kanisa la Wasabato na wananchi wa Mwanza waliohudhuria uwekaji jiwe la msingi la hospitali hiyo na pia walishiriki katika harambee ya kuchangia huo.IMG_1109Umati mkubwa wa wananchi wa jiji la Mwanza waliohudhuria mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Furahisha katika eneo la Kirumba na kuhutubiwa na Rais Jakaya Kikwete mwishoni mwa ziara yake katika wilaya za Nyamagana na Ilemela tarehe 8.9.2013.IMG_1117

No comments:

Post a Comment