Juma Shabani Kunguwala(50)mkazi wa kijiji cha Tutuo wilaya ya Sikonge ambaye alipatwa
na masahibu ya kupigwa na kujeruhiwa vibaya na watu wanaodaiwa kuwa ni maaskari wanaoendesha Operesheni Tokomeza akituhumiwa kuwa alikuwa akimiliki silaha na uwindaji haramu.Majeruhi huyu kwasasa hali yake ya kiafya si nzuri na bado anaendelea kudhoofika siku hadi siku.

Sehemu ya mkono wa majeruhi huyo

CHANZO TANZANIA NEWS BLOG

No comments:
Post a Comment