Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa
alipomtembelea kwa mazungumzo kwenye jengo la Temple Trees jijijini
Colombo leo Novemba 14, 2013 kabla ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa wakuu
wa nchi za jumuiya ya madola mwaka huu (CHOGM 2013)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni nchini sri Lanka
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa pamoja na viongozi mbali mbali
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa katika mazungumzo yao leo (picha zote na Ikulu)
MUUNGANO WAZIDI KUIMARISHA USHIRIKIANO NA KUIBUA VIPAJI VYA MICHEZO
-
Wachezaji wa Timu ya Mpira wa Pete (Netiboli) ya Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano na (Mazingira) wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya
kuwasil...
2 hours ago







No comments:
Post a Comment