IKIWA
imebaki kiasi cha mwaka mmoja kabla ya Fainali za Kombe la Dunia,
Ujerumani tayari wameanza maandalizi ya safari ya Brazil baada ya
kutambulisha jezi zao mpya kwa ajili ya michuano hiyo.
Kikosi
cha Joachim Loew imefuzu kwa kishindo baada ya kuongoza Kundi C na
wasambazaji wa vifaa vya michezo, Adidas wametoa jezi mpya za timu hiyo
bingwa mara tatu wa michuano hiyo, ambazo watavaa kwenye fainali za
Brazil.
Mwenye
mpira: Mchezaji wa Arsenal, Mesut Ozil (kushoto) akionyesha jezi mpya ya
Ujerumani akiwa na mchezaji wa Schalke, Julian Draxler
Ozil na Draxler na jezi mpya za Ujerumani Uwanja wa Allianz Arena
Thomas Muller (katikati) Draxler (kulia) na shabiki
Muller na Draxler
Inakumbushia
enzi hizo: Jezi ya sasa Ujerumani inafanana fanana na na jezi ya
Fainali za Kombe la Dunia mwa 1994 ambayo amevaa Jurgen Klinsmann hapa
No comments:
Post a Comment