WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 28/12/2013.
[Mikoa ya Iringa, Katavi, Mbeya na Rukwa]:
[Mikoa ya Morogoro ( Kusini) na Ruvuma]:
|
Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
| |
[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Kigoma na Tabora]:
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
| |
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua
| |
[Mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Tanga]:
[Mkoa wa Morogoro (Kaskazini)]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua
| |
[Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro]:
|
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha joto
|
Kiwango cha chini cha joto
|
Mawio (Saa)
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
28°C
|
13°C
|
12:25
|
12:39
|
D'SALAAM
|
33°C
|
27°C
|
12:06
|
12:36
|
DODOMA
|
32°C
|
21°C
|
12:22
|
12:48
|
KIGOMA
|
30°C
|
21°C
|
12:48
|
01:10
|
MBEYA
|
20°C
|
16°C
|
12:26
|
01:02
|
MWANZA
|
27°C
|
19°C
|
12:40
|
12:52
|
TABORA
|
28°C
|
20°C
|
12:36
|
12:58
|
TANGA |
32°C
|
25°C
|
12:11
|
12:33
|
ZANZIBAR
|
33°C
|
25°C
|
12:06
|
12:36
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya
Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa kasi ya km 20 saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi makubwa kiasi.
Matazamio kwa siku ya Jumatatu: 30/12/2013: Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 28/12/2013.
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)
No comments:
Post a Comment