Mzee Chiro akiwa na Wastara Msanii
wa filamu Wastara leo ameungana na wadau mbalimbali wa filamu
makaburini Kisutu jijini Dar es Salaam kusoma dua kwaajli ya marehemu
mume wake, Juma Kilowoko aliyekuwa maarufu kwa jina Sajuki.Hata
hivyo Wastara alisema baada ya shughuli ya leo. dua rasmi ya marehemu
Sajuki itafanyikia nyumbani kwao Songea, January 2, 2014.
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)
No comments:
Post a Comment