Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, December 29, 2013

Dr. Shein aongoza Mahfali ya 9 ya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa
SUZA,akisalimiana na walimu wa Chuo Kikuu cha SUZA,alipowasili katika
mahfali ya 9 yaliyofanyika kampasi ya Chuo Tunguu,Wilaya ya Kati
Unguja, leo,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
TA1A5045Baadhi ya wahitimu wa fani mbali mbali  wa Chuo Kikuu cha
Taifa SUZA,wakiwa katikaa maandamano wakati wa sherehe za mahafali ya 9
chuo hicho,yaliyofanyika kampasi ya Chuo Tunguu,Wilaya ya Kati Unguja,
leo,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
TA1A5074 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,(wa pili
kulia) akiongoza maandamano wakati wa sherehe za mahfali ya 9 chuo
hicho,yaliyofanyika kampasi ya Chuo Tunguu,Wilaya ya Kati Unguja
leo,yaliyowashirikisha baadhi ya wahitimu na walimu.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
TA1A5135Baadhi ya wahitimu wa shahada ya sayansi ya kompyuta,ya
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar,wakisimama walipotunukiwa na  Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,(hayupo pichani) katika
mahafali ya 9 iliyofanyika kamapasi ya Tunguu leo.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
TA1A5209Baadhi ya wahitimu wa shahada ya sayansi na Elimu,ya
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar,baada ya kutunukiwa na  Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,(hayupo pichani) katika
mahafali ya 9 iliyofanyika kamapasi ya Tunguu leo.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
TA1A5219 
Wahitimu wa Stashahada ya Teknolojia ya habari,waliotunukiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,(hayupo pichani) katika mahafali ya 9 iliyofanyika kamapasi ya Tunguu leo,(kutoka kushoto) Stewat Njelekela,Seif Mohamed Nassor na Husna Shaabani Bwamadi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment