Wananchi wa kata ya Manda Ludewa wakimfuta jasho mbunge wao Deo Filikunjombe kama kumpongeza kwa utekelezaji mzuri wa ahadi na uwakilishi uliotukuka bungeni |
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiwa amebebwa na mpiga kura wake kama kumpongeza kwa utendaji wake mzuri |
Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akifurahia baada ya kupongezwa kwa kubebwa mgongoni na mpiga kura wake |
Mbunge
Filikunjombe kati akipokea zawadi ya mbuzi kutoka kwa mkazi wa
manda huku mkewe Habiba akishukuru (picha na Blogu ya Francis Godwin) TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE) |
No comments:
Post a Comment