Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Balozi Mdogo wa India anefanyika kazi Zanzibar Pawan
Kumar,alipo fika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kumuaga Rais baada ya
kumaliza muda wake wa kazi.[Picha na Ramadhan Othman IKulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Balozi Mdogo wa India anefanyika kazi Zanzibar Pawan
Kumar,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kumuaga Rais baada ya
kumaliza muda wake wa kazi.[Picha na Ramadhan Othman IKulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) anefanyia
kazi Zanzibar Dk.Pierre Kahozi,leo alifika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga
Rais baada ya kumaliza muda wake wa Kazi.[Picha na Ramadhan Othman
IKulu.]

No comments:
Post a Comment