Gerard Pique akipongezwa na wachezaji wenzake, Alexis Sanchez na Lionel Messi baada ya kuisawazishia Barca
TIMU ya Barcelona imeacha pointi mbili mbele ya Levante baada ya sare ya kufungana bao 1-1 katika mechi ya La Liga usiku huu.
Vyntra
alitangulia kuwafungia wenyeji dakika ya 10, lakini Gerard Pique
akaisawazishia Barca dakika tisa baadaye. Lionel Messi alicheza lakini
hakuweza kuziona nyavu za Levante zilizokuwa zinalindwa na kipa Keylor
Navas aliyeokoa michomo mingi ya hatari.
Barca
inaendelea kukaa kileleni kwa kutimiza pointi 51 baada ya kucheza mechi
20, sasa ikiizidi Real Madrid kwa pointi moja tu katika nafasi ya pili.
Atletico Madrid inaweza kupanda kileleni ikiifunga Sevilla kwa
kufikisha pointi 53, hadi sasa ikiwa inaongoza 1-0, bao la David Silva
dakika ya 18.
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YEU KWA HABARI NYINGII MOTOMOTO(USIPITWEEEE)
VIONGOZI WA UMMA WATAKIWA KUBADILI MTINDO WA KAZI ILI KUFIKIA DIRA 2050*
-
SERIKALI imesema hakuna tena biashara ya kawaida kwa Taasisi, Mashirika ya
Umma na Wakala za Serikali. Waziri Prof. Kitila Mkumbo amesema viongozi
lazim...
40 minutes ago


No comments:
Post a Comment